Uganga wa Kitabu Vol. 3 ni sehemu ya tatu ya mfululizo wa vitabu vyetu “Uganga wa Kitabu” ambao ni mfumo maalum wa tiba, kinga, na kuimarisha hali ya kiroho ya muumini.
Katika kitabu hiki utapata:
• Mfumo maalum wa Kitiba kwa matumizi ya kila siku
• Dua na adhkar za kuimarisha ulinzi wa kiroho
• Njia za kudumisha usafi wa moyo na nguvu ya imani
Ni rejea muhimu kwa yeyote anayehitaji mfumo maalum wa kujilinda na kuimarisha maisha yake ya kiroho kwa msaada wa Mwenyezi Mungu.
✔ Format: PDF & Printed
✔ Lugha: Kiswahili






Reviews
There are no reviews yet.