Uponyaji kwa Dawa za Miti No. 1 ni kitabu kinachokusanya maarifa ya tiba za asili kwa kutumia miti, mizizi, na mimea mbalimbali yenye manufaa kwa afya ya binadamu.
Ndani ya kitabu hiki utapata:
• Aina mbalimbali za miti na mimea yenye tiba
• Namna ya kuandaa dawa za asili kwa usahihi
• Matumizi ya kila dawa kulingana na maradhi
• Mchanganyiko wa tiba za asili na mwongozo wa Kiislamu
Kitabu hiki ni muhimu kwa kila anayependa tiba mbadala, hasa zile zinazotokana na tamaduni a mazingira yetu.
Ni hazina ya maarifa kwa afya ya mwili na njia ya kurejea kwenye tiba za asili zilizo salama na zenye manufaa.
✔ Format: PDF & Printed
✔ Lugha: Kiswahili




Reviews
There are no reviews yet.