Uganga wa Kitabu Vol. 2 ni mwendelezo wa mfumo wa Matibabu ya Kiroho unaolenga kuimarisha uelewa na matumizi ya Quran na Dua.
Katika kitabu hiki utajifunza:
• Mbinu zaidi za kutumia aya za Qur’an katika tiba ya kiroho
• Dua maalum za kuondoa athari nzito za uchawi na husuda
• Njia za kujilinda dhidi ya mashambulizi ya kiroho
• Kuimarisha imani na tawakkul kupitia adhkar na dua
Kitabu hiki kinaongeza maarifa kwa wale wanaotaka kujua tiba ya kiroho kwa kufuata njia sahihi ya Qur’an na Dua.
✔ Format: PDF & Printed
✔ Lugha: Kiswahili





Reviews
There are no reviews yet.