Uponyaji kwa Dawa za Miti Vol. 2 ni muendelezo wa mkusanyiko wa tiba za asili unaolenga kutoa suluhisho la maradhi mbalimbali kwa kutumia rasilimali za asili zinazopatikana kwa urahisi.
Katika kitabu hiki utajifunza:
β’ Mbinu zaidi za kutumia dawa za miti kwa usahihi
β’ Aina nyingine za mimea yenye tiba na faida zake
β’ Namna ya kuchanganya dawa za asili kwa ufanisi
β’ Tahadhari na matumizi sahihi ya tiba za asili
Kitabu hiki kinaongeza uelewa wa kina kwa wale wanaotaka kujifunza na kutumia tiba mbadala kwa njia sahihi na yenye manufaa.
Ni mwendelezo muhimu kwa yeyote aliyesoma sehemu ya kwanza au anayependa kujifunza zaidi kuhusu tiba za asili.
β Format: PDF & Printed
β Lugha: Kiswahili




Reviews
There are no reviews yet.