,

Yasiin Kutibu Uchawi (Yasiin Warada): Ruqyah Mujarabu kwa Tiba ya Kiroho

$1.03 $1.44Price range: $1.03 through $1.44

Yasiin Kutibu Uchawi ni Tiba ya kiroho Inayotumia Surat Yasiin pamoja na dua na aya za Qur’an kwa ajili ya tiba ya uchawi na athari zake.

Kitabu hiki kinajumuisha:

• Ruqyah ya kutumia Surat Yasiin kwa tiba ya kiroho
• Dua za kuondoa uchawi na nguvu za giza
• Aya za Qur’an zenye athari katika ulinzi na uponyaji

Kimeandaliwa kitaalam, kikizingatia Tiba za Qur’an na dua katika kutafuta kinga na tiba kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Ni chombo muhimu kwa kila Muislamu anayehitaji tiba ya kiroho “MUJARABU’ kwa njia sahihi na yenye nguvu.

✔ Format: PDF & Printed
✔ Lugha: Kiswahili

Weight N/A
Format

PDF, Printed Book

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Yasiin Kutibu Uchawi (Yasiin Warada): Ruqyah Mujarabu kwa Tiba ya Kiroho”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart
Select your currency
USD United States (US) dollar
Scroll to Top